Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 7, 2016

JOSHUA NASSARI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO


Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.

 
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa wanaoitibiwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini hapo

picha zote na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog

No comments:

Post a Comment