Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 13, 2016

KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAMPA POLE MAMA MARIA NYERERE KWA MSIBA WA MAREHEMU LETICIA NYERERE


 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere leo Jumanne Januari 12, 2016.
Mama Salma Kikwete akimfariji  Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere leo Jumanne Januari 12, 2016.

 
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole Mama Maria Nyerere kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere leo Jumanne Januari 12, 2016.

No comments:

Post a Comment