Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 14, 2016

LOWASSA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA TEAM MABADIRIKO KUTOKA SOKO LA KARIAKOO

Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, Jijini Dar es salaam waliomtembelea Ofisini kwake  Januari 14, 2016.
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, Severin Mushi, akizungumza wakati akiutambulisha ujumbe wake kwa Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, walipokwenye kumuona Januari 14, 2016.

 
Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, mara baada ya kuzungumza nao leo, Jijini Dar es salaam.
CHANZO OTHAMN MICHUZI

No comments:

Post a Comment