Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 14, 2016

MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST EDWARD, BALTIMORELeticia Nyerere enzi ya uhai wake

Familia ya Nyerere inependa kuwataarifu, kuwakaribisha na hatimae kujumuika nao katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa mama yao Leticia Nyerere itakayofanyika siku ya Jumamosi Januari 16, 2016 saa 6 kamili mchana (12 pm sharp) katika kanisa la Mtakatifu Edward lililopo Baltimore, Maryland kwenye anuani ifuatayo hapo chini.
 901 Poplar Grove Street,
Baltimore, MD 21216


Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.

 Kwa maelezo na maelekezo zaidi tafadhali wasiliana na 
Margareth Mageni 240 462 9138
Emmanuel Muganda 240 447 2801
Ramadhani Kamguna 202 459 3839

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment