Jana kwenye jukwaa la Timu ya Manchester City alionekana kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson akitazama Mechi.Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni kwenda kuangalia mpira unaovutia.
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
4 hours ago



No comments:
Post a Comment