Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 18, 2016

PONGEZI KWA MICHUZI‏

mwenyekiti
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu) akimpongeza mwenyekiti mpya wa FK aliyeteuliwa hivi karibuni Bw. Ahmed Michuzi ambaye pia ni Mmiliki wa Blogu ya Jiachie na mkurugenzi mwandamzi wa Michuzi Michuzi Media alikuwa
 
 mwanachama mwaminifu wa FK, tukio hilo limetokea leo wakati alipokutana naye kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam, Cheo hicho kilikuwa kikishikiliwa na Kamanda Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment