Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 11, 2016

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMFARIJI MAMA MARIA NYERERE KWA KUFUATIA KIFO CHA MKWE WAKE LETICIA NYERERE HUKO MAREKANI

mar1
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na wanafamilia  alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.
mar2

mar3
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimfariji  na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia  alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani. 
mar4

mar5
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani. 

No comments:

Post a Comment