Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 19, 2016

Shehena kubwa ya bidhaa za magendo yakamatwa katika bandari bubu Tanga ikitokea Zanzibar


Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar. Operesheni hiyo imefanywa na Polisi 100 wakishirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama.
Vyombo vilivyohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo vyote vimetaifishwa. Walikuwa wanakwepa Kodi. 

 
Chanzo Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment