Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 16, 2016

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/16

Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.


No comments:

Post a Comment