Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 19, 2016

WAHARIRI WA GAZETI LA MAWIO WAJISALIMISHA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM



 Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam jana mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.
Wahariri wa gazeti la Mawio wakizungumza  leo walipokuwa wanajisalimisha makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.

 
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda  akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment