Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 13, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA


Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma

 
Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwafariji wagonjwa hospitalini hapo

No comments:

Post a Comment