Watu wanne wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa
wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na
kugonga nguzo eneo la Kwa Sabato, Bunda. Mganga Mkuu Nicholas
Machochota
athibitisha kutokea kwa vifo hivyo, pia majeruhi wamepelekwa katika hospitali
ya Bungando kwa matibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment