Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 6, 2016

HUZUNI:::ASKARI WAPATA AJALI MBAYA KWENYE MSAFARA WA RAIS NA WATATU KUPOTEZA MAISHA

 Gari ya RTO SINGIDA ikiwa imepata ajali kwenye msafara wa Rais huko Isuna Singida. Taarifa ya awali inasema RSA MANYARA WANARIPOTI KUWA "...askari watatu wamepoteza maisha, Inspector mmoja na Sgt wawili akiwemo Dereva."
RIP WAPIGANAJI
No comments:

Post a Comment