Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 8, 2016

PICHA 2:::GARI YA MKE WA WAZIRI MKUU MSTAAFU YAPATA AJALI NA KUUA MTU MMOJA

Tumepokea taarifa kuwa gari ya mke wa waziri mkuu mstaafu mama Tunu Pinda imepata ajali Morogoro. "Hiyo ajali ni kweli imetokea mchana wa leo hiyo gari imegongana 


na mpandapikipiki na amefariki. Chanzo cha ajali ni mpanda pikipiki kuingia barabara kubwa akitokea barabara ndogo bila kuchukua tahadhari."Watu wanne wamejeruhiwa, mpanda pikipiki amefariki.

No comments:

Post a Comment