Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 5, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA MSAMVU MKOANI MOROGORO LEO WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA


Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wananchi Msamvu mkoani Morogoro mchana wa leo wakati akiwa njiani kulekea Mkoani Dodoma kwa kwa njia ya Barabara. Kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Sherehe za Miaka 39 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) zitakazoadhimishwa Kitaifa mkoani Singida.

 
CHANZO ISSA MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment