Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 29, 2016

TAZAMA PICHA JINSI WANAFUNZI WA CHUO CHA ST JOSEPH WALOPOCHEZEA KICHAPO CHA FFU LEO


Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph kampasi ya Dar es Salaam akiwa miguuni wa Askari leo mara baada ya kuishiwa nguvu wakati wakitawanywa na Askari hao jijini Dar es Salaam leo walipokuwa wakiandamanda kuelekea wizara wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi.
 
  Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph tawi la jijini Dar es Salaam wakitawanywa na askali wa kutuliza Ghasia (FFU) leo wakati wanafunzi hao wakiandamana wanaelekea wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi kudai kushinikiza chuo hicho (Kampasi)tawi la Arusha kifunguliwe.
baada ya tawi hilo kufungiwa na TCU wiki iliyopita.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment