Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 3, 2016

TAZAMA PICHA NA VIDEO ZA SIMBA HUYU ALIPOMRUDISHA MTOTO WAKE ALIYEKUWA ANAONDOKA

Mtoto wa Simba Akiondoa zake kuelekea kusikojulikana
Mama Kumbe kamuona akaanza kumfuata taratibuuuuu
Hapa akiwa kamkamata na kurudi nae.Kweli mapenzi ya 

 
mama ni makuu,imeandaliwa na Dj Sek picha na Daily mail

No comments:

Post a Comment