MCHEZAJI MPYA wa klabu ya Genk ya Ubeligiji Mbwana Samatta
akiwa na wachezaji wenzake mara baada ya kuiwezesha timu yake kuibuka a ushindi
wa goli moja bila katika mchezo wa jana.
Rais Samia aokoa maisha ya mwananchi mwenye Kansa
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bibi Clotilda Isidory Kokupima, mkazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma,
amemtembelea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEM...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment