Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 20, 2016

Video ya Ay Ft Diamond Platnumz yafungiwa

Katika kufuatilia maudhui ya vyombo vya utangazaji, mamlaka ya mawasiliano Tanzania [TCRA] imebaini kuwa miziki ya video inayokiuka kanuni za utangazaji kwa kuonyesha picha zisizozingatia maadili na ambazo zinachochea watoto kuiga maadili mabaya.
Mfano wa nyimbo hizo ni pamoja na ‘Zigo’ ulioimbwa na Ay akimshirikisha Diamond. Video za miziki ya aina hii zinaudhalilisha utamaduni wetu na zinakinzana na kanuni za huduma za utangazaji [Maudhui] 2005].


No comments:

Post a Comment