YOUNG DEE ATEMBELEA MADUKA YA TIGO NA KUGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA NA MASHABIKI ZAKE
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja wa tawi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho
,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii.
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akifurahi jambo na mmoja wa wateja wa Tigo tawi la Makumbusho baada ya kumkabidhi zawadi ya tisheti mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
Wafanyakazi wa Tigo wa tawi la Makumbusho wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa kizazi kipya Young Dee akiwa alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akihojiwa na mwandishi Emmanuel Onyango katika Tigo wa tawi la Makumbusho alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akitazama simu zinazouzwa katika duka la Tigo tawi la Tegeta alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii
Wafanyakazi wa Tigo tawi la Tegeta wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa kizazi kipya Young Dee alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii .
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akitoa zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa tawi la Manzese simu zinazouzwa katika duka la Tigo tawi la Tegeta alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa tawi la Manzese zawadi ya tisheti alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment