Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Mhe. Hamad Rashid Mohamed
akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa chama hicho katia ya 13, kwenye kutano
uliofanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba
Mlezi wa
chama cha ADC Pemba, Shoka Khamis, akizungumza kwenye mkutano wa wanachama,
wagombea na mawakala wa chama hicho, uliofanyika Chuo cha Amali
Vitongoji Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho Mhe. Hamad Rashid Mohamed
Vitongoji Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho Mhe. Hamad Rashid Mohamed
Wanachama wa
chama cha ADC, pamoja na wagombea na mawakala wao, wakiwa kwenye ukumbi wa
mikutano wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, mkutano huo ulihutubiwa
na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Mhe. Hamad Rashid
Mohamed
Kaimu Mkurugenzi
wa uchaguzi wa chama cha ADC Tanzania Omar Constantine Wilbert, akizungumza
kwenye mkutano wa wanachama, wagombea na mawakala wa chama hicho, uliofanyika
Chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Hamad
Rashid Mohamed, akizungumza na wanachama, wagombea na mawakala wa chama hicho,
kwenye kutano wa hadhara, uliofanyika chuo cha Amali Vitongoji Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment