Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 7, 2016

MTAZAME RAIS MAGUFULI AKIMTANGAZA KATIBU MKUU MPYA IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemtangaza katibu mkuu kiongozi mpya kwenye serikali yake ambaye anachukua nafasi hiyo iliyokua kwa Ombeni Sefue, katibu mkuu mpya amekua akifanya kazi kama Balozi wa Tanzania India, mtazame Rais Magufuli hapa chini.

No comments:

Post a Comment