Waziri Mkuu, Kassim Majajaliwa akifurahia zawadi ya picha aliyozawadiwa na wananchi wa Kata ya Kakunyu wilayani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Afisa Mifugo wa Kata ya Kakunyu wilayani Missenyi, Eric Kagoro akitoa maelezo mbele ya Waziri Mkuu na wananchi kuhusu tuhuma kuwa analinda wafugaji toka nchi jirani wanaolisha mifugo yao kwenye ardhi ya Tanzania kinyemela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment