Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, August 12, 2012

Breaking News: Dk. Ulimboka arejea nchini

Dr.Ulimboka Kurejea Nchini Leo


Zipo taarifa kuwa Dr.Ulimboka anarejea leo nchini akitokea kwenye matibabu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini Tanzania Dk. Stephen Ulimboka aliyekuwa akitibiwa nchini Afrika Kusini baada ya kupigwa na watu wasiojulikana amerejea leo nchini akiwa mwenye afya.

No comments:

Post a Comment