Ndege hii ilitarajiwa kuanza safari zake miaka mitatu iliopita lakini ilichelewa kutokana shughuli za uundaji.
Licha ya gharama za kutengeneza ndege hiyo
kugharimu mabilioni ya dola, Dreamliner imetajwa kuwa hatua kubwa katika
miundo ya ndege.
Kwa mujibu wa shirika la Boeing,Dreamliner haitumii mafuta mengi na imetengenezwa kutokana mfumo wa nyaya za carbon na plastiki.
Shirika la ndege la All Nippon Airways la
Japan-- likiwa la kwanza kutumia ndege hii limenadi viti sita vya abiria
wa kiwango cha juu cha biashara katika safari ya kwanza na kupata dola
elfu 34 ambazo linasema zitatumika kama misaada kwa mashirika ya
mazingira.
No comments:
Post a Comment