Afsa wa
habari na mahusiano Enstenim Mgimba katikati, akiongea na waandishi wa habari
leo jijini Dar es salaam juu ya maandalizi ya onyesho la kubwa la mavazi Afrika
Mashariki na kati la Swahili Fashin week ambapo Tanzania imealikwa kuonyesha
ubunifu wa mavazi kupitia wabunifu mbalimbali wa mavazi katika maonyesho hayo
hayo yanatarajiwa kufanyika Angola kuanzia tarehe 14-16 Oktoba mwaka huu
likiwaleta pamoja wabunifu zaidi ya 40 kutoka nchi 26 Duniani,ambapo Tanzania
inawakilishwa na wabunifu watatu ambao ni Manju Msita,Gabriel Mollel Na Mustafa
Hassanali.Kushoto Gabriel Mollel mbunifu wa mavazi.kulia Manju Msita mbufu wa
mavazi ,(Picha na Philemo Solomon)habari kwa hisani ya fullshangwe blog.
AIRTEL WAZINDUA DUKA KATIKA KITUO CHA TRENI YA SASA DAR
-
Mtendaji Mkuu wa TRC, Masanja Kadongosa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
duka la Airtel katika kituo cha Treni ya Kisasa kilichopo jijini Dar es
Salaam...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment