Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 17, 2011

WHITNEY ALETA NOMA NDANI YA NDEGE


















Kwa mujibu wa Tmz mwanamama Whitney Houston,almanusura ashushwe kwenye ndege mara baada ya kugoma kufunga mkanda.Whitney ambaye alipanda ndege ya shirika la ndege la Delta Airlines akitokea Atlanta,wahudumu wa ndege hiyo walimwambia kama angekataa kufunga mkanda katika kiti chake wangemshusha..Mara baada ya kauli za wahudumu wa ndege hiyo,walinzi walihakikisha mwanamama huyo anafunga mkanda,na hali ikarejea kama ilivyokuwa.Kwa mujibu wa chanzo Whitney alikuwa safarini kuelea mjini Detroit kwa ajili ya upigaji picha wa filamu yake mpya.

No comments:

Post a Comment