Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 22, 2013

ANGALIA PICHA ZA MAANDALIZI YA UJIO WA KITUU CHA MALKIA WA UINGEREZA


Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa nje ya Hospitali tayari kwa kuhabarisha kinachoendelea.
Hichi kinachoonekana ndicho chumba atakacho kuwa amelazwa huku pembeni akiwepo mmewe akishuhudia kinachoendelea wakati akijifungua wale waliopitia sehemu hizo wanasema "LABOUR"
Jengo likionekana kwa nje na ulinzi ukiwa barabara
Hili ni Gazeti la The sun la 1982 lilivyoandika wakati William alipozaliwa ambae sasa na yeye anasubiri kupata mtoto nae ataandikwa kama yeye alivyoandikwa.

TABASAMU KIDOGO
Ilikuwa hivi taratibu badae.........na sasa wanatarajia mtoto ndani ya masaa kadhaa...!!
KATE wakati wa ujauzito wake.

Nchini Wingereza habari kubwa kwa sasa ni kuhusu Prince William ambae ni mjukuu wa Malikia Elizabert wa II kutalajia kupata Mtoto yeye pamoja na mke wake Kate ambae mtoto huyu atakuwa ni kitukuu kwa Malikia Elizabeth na atakuwa pia ni mmoja wa familia ya kifalume baadhi ya matukio yanaendelea mara baada ya wawili hao kwenda hospitali kwa ajili ya kujifungua huku Prince William akimsindikiza hizi tu ni baadhi ya picha kama tulivyoahidi kuwaletea kadili tutakavyo weza mwanzo mwisho.NA http://bapromas.blogspot.com

No comments:

Post a Comment