DIONIS MALINZI AIKABIDHI TAIFA STARS BENDERA YA TAIFA, AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA USHINDI
Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi akishikana mkono
na kocha mkuu wa timu ya taifa Taifa Strs Jan Paulsen, mara baada ya
kumkabidhi rasmi bendera ya taifa Henry Joseph ambaye ni kapteni wa timu
hiyo, katika hafla ya kuiaaga timu hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya
New Africa Jana jioni, kulia ni mene3ja wa timu hiyo Bw. Mutebezi.
Taifa Stars
inadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya
Seregeti Lager kwa muda mrefu sasa na timu hiyo imeonyesha mafanikio kwa
kiwango kikubwa tofauti na hapo awali ilipokuwa haina udhamini.
Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi akizungumza na
wachezaji viongozi wa TFF pamoja na wadau mbalimbali, waliohudhuria
katika hafla hiyo jana.
Kocha
Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars Jan Paulsen akizungumza katika hafla
hiyo ambapo aliahidi kuwa, timu yake itafanya kazi kuwabwa kuhakikisha
inaondoka na Ushindi huko Chad.
Mkurugenzi
wa Mahusiano Kampuni ya Bia ya Serengeti Teddy Mapunda akizungumza kwa
niaba ya kampuni ya bia ya Serengeti katika hafla hiyo.
Golikipa
wa timu ya Taifa Stars Juma Kaseja akipiga ngoma huku wanenguaji wa
kundi la Wanne Star wakicheza wakati wa hafla ya kuwapongeza.
Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi wa pili kutoka
kushoto na mkurugenziw aMahusiano (SBL) Teddy Mapunda kushoto pamoja na
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Leodger Tenga wa pili kutoka
kulia wakiangalia kwa makini tangazo jipya linalohamasisha ushindi kwa
timu ya Tanzania Taifa Stars, kulia ni Mjumbe wa BMT Juma Pinto.
Katibu Mkuu wa (CECAFA) Nicholas Musonye kulia akiwa na wadau wakubwa wa timu ya Taifa kulia ni Crescentius Magori na Bw. Philemon katikati.
Mkurugenzi wa
Mahusiano Kampuni ya Bia ya Serengeti Teddy Mapunda akiongozana na
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi,
kuelekea ukumbini kwa ajili ya kuwaaga wachezaji wa timu ya taifa Taifa
Stars, nyuma kulia ni Golikipa wa timu hiyo Juma Kaseja.
Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo nchini BMT Bw. Dionis Malinzi kulia na mkurugenzi
wa Mahusiano SBL Teddy Mapunda wa pili kutoka kushoto, pamoja na Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Leodger Tenga katikati
wakifuatilia jambo katika hafla hiyo , kulia ni Kocha Mkuu wa timu ya
taifa Taifa Stars Jan Paulsen.
Meneja wa bia ya Serengeti Lager Allan Chonjo akizungumza katika hafla hiyo kumkaribisha Mkurugenzi wa Mahusiano Teddy Mapunda.
Mwanamuziki na Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiteta jambo na golikipa wa tim u ya Tifa Stars Juma Kaseja.
Meneja
wa kinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo akiwa katika picha ya
pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa Stars na Kocha mkuu wa timu hiyo
Jan Paulsen.
Wahariri
wa Vyombo mbalimbali vya habari walikuwepo pia ktoka kushoto ni Rashid
Kejo Habari Leo, Jaquiline Liana Uhuru , Eric Mkuti Habari Leo, Joseph
Kulangwa Habari Leo, Willy Edward Jambo Leo na mmoja wa wadau wa timu ya
Tafifa Stars Bw. Philemon wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali wa
mpira wa miguu katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment