Rais Kikwete awaandalia Prince Charles na mkewe Duchess of Cornwall dhifa ya kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais
Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince
Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa
waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam, hapa Rais Kikwete
na Mke wake Mama Salma na wageni wao wakipiga makofia mara baada ya Rais Kikwete kusoma hotuba yake.
Picha na Ikulublog
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake pamoja na Makamu wa Rais
Dkt Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe
pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe
No comments:
Post a Comment