MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA KUTOKA MAREKANI.
Makamo
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipeana mikono na
waheshimiwa na wananchi mbalimbali waliompokea hapo katika uwanja wa
ndege wa Zanzibar akitokea marekani kwa ziara ya kikazi.
Makamo
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifafanua jambo
katika mkutano na waandishi wa Habari hapo katika ukumbi wa uwanja wa
ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi katika ziara yake ya kikazi
nchini Marekani.
Makamo
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akimsikiliza
muandishi wa habari Farouk Karim katika mkutano uliofanyika katika
ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi safari yake
ya kikazi nchini Marekani.
PICHA NA HAMADI HIJA -MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment