
Majina yao siku zote yamekuwa yakienda pamoja. Sema “Messi” na watu watakujibu ‘Ronaldo’: mtaje Cristiano na utasikia wengine wanasema ‘Leo’ – hali hii ni kama ambavyo ipo katika soka la nchini Hispania ambalo kama hujaitaja Barcelona then utaitaja Real Madrid.
Hata
wachezaji hawa wenyewe wamejikuta kwa mara kadhaa wakiwa kushindana,
kama ilivyotokea kwa zaidi ya miaka 2 iliyopita: Messi anafunga hat
trick or kucheza kwa performance ya hali juu na kusaidia timu yake
kushinda , then Ronaldo nae atafanya hivyo hivyo au vice versa.
Ushindani huu umekuwa na matunda mazuri kwa wachezaji hawa pamoja na
timu zao.
Haikuwa
surprise baada ya Lionel Messi kufunga goli la 200 akiwa na Bacelona,
baada ya kutupia hat trick katika ushindi dhidi ya Viktoria Plzen
jumanne iliyopita, siku iliyofuata Cristiano Ronaldo nae akafunga mabao
mawili ya ushindi kwa timu yake dhidi ya Lyon na kufanikiwa kufikisha
idadi ya magoli 100 tangu ajiunge na Real Madrid.
TAKWIMU ZA RONALDO NA MAGOLI YAKE 100 AKIWA REAL
MADRID.
Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutia nyavuni magoli
100 katika mechi 105 za mashindano yote.Ama kwa hakika ni rekodi ya
kutisha ikizingatiwa katika msimu wake wa kwanza chini Manuel Pellegrin
alikuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi 2 kutokana na majeraha.
![]() |
CRISTIANO RONALDO | 105 GAMES, 100 GOALS
|
![]() MORE ON CRISTIANO RONALDO |
|
Takwimu za mabao hayo 100 zinaonyesha kati ya
magoli mia, magoli 75 ameyafunga kwa mguu wa kulia, 17 kwa mguu wa
kushoto na 8 kwa kichwa.
![]() |
CR7'S 100 GOALS | HOW THEY WERE SCORED
|
|
TAKWIMU ZA MESSI NA MAGOLI YAKE 200 AKIWA BARCELONA.
1: MAGOLI 200 NDANI MECHI 286.
![]() |
LIONEL MESSI | 286 GAMES, 202 GOALS
|
![]() |
|
2:
MAGOLI JINSI ALIVYOYAFUNGA KATIKA MICHUANO TOFAUTI.
![]() |
LIONEL MESSI'S 202 | GOALS BY COMPETITION
|
|
3: ALIYAFUNGA VIPI MAGOLI
HAYO 200.
![]() |
MESSI'S 202 GOALS | HOW THEY WERE SCORED
|
Left foot | Right foot | Headers | Chest | Hand (left) |
161 | 32 | 7 | 1 | 1 |
No comments:
Post a Comment