The
King of Bling toka Kenya,Jackson Makini aka Rapper CMB Prezzo
amemsanua rasmi girlfriend wake anayekwenda kwa jina la Joy Wanjohi ambaye alikua anafanya kazi Phat Magazine
PREZZO vs JOY WANJOHI
Prezzo
kwa sasa ana-bang na track mpya ya Fo Sure Fo Shizzle,amefunguka
zaidi kuwa uhusiano wa yeye na Joy ni kama wa Wiz Khalifa naAmber
Rose na wamekua wakitoka na Joy Wanjohi kwa muda wa
mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kutemana na ex-wife
wake Daisy Kiplagat
No comments:
Post a Comment