Mmoja
wa actors wakali wa comedy toka NollyWood,Chinedu Ikedieze
aka Aki aka andunje anatarajiwa kufunga ndoa tarehe 10
December,2011
....AKA SHEMEJIIIIII....
Aki
alipata sana umaarufu akiwa na andunje mwenzake,Osita Iheme aka
Ukwa kwenye movie za comedy ncihini Nigeria na anatarajiwa
kufunga ndoa na Sweetheart wake Nneoma Nwaijah,ambaye
amehitimu Enugu State University of Technology,na ndoa
yao hiyo itanguliwa na ndoa ya kimila mwezi November
....MR & MRS TO BE....
No comments:
Post a Comment