Soko
la Kisimani lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba
mkoani Mbeya limeteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10
jioni na kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka
yameteketea kwa moto huo. Chanzo hakijaweza kubainishwa lakini inadaiwa
kuwa Umeme uliporudi baada ya kukatika ndipo moto ulipoanza katikati ya
Soko hilo
Vibanda
vilivyokuwa vimejengwa kwa mbao vimeteketea na kubakia masalia ya
mabati yaliyotumika kuezekea vibanda hivyo katika Soko la Kisimani
lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya,
jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na kusababisha hasara kubwa ambapo
vibanda vya biashara na maduka yameteketea kwa moto huo.
Kijana
mmoja aliyevalia mwenye fulana ya Bluu akiwa amekamatwa wakati
akijaribu kutorosha baadhi ya mali zilizokolewa katika moja ya maduka
yaliyoteketea kwa moto katika soko la Kisimani lililopo mji mdogo wa
Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya , jana kuanzia majira ya
Saa 10 jioni na kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na
maduka yameteketea kwa moto huo.
Baadhi
ya wafanyabiashara wakiwa wamebeba mizigo ya mali zao mara baada ya
kufanikiwa kuokoa mali zao katika Soko la Kisimani lililopo mji mdogo wa
Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya lililoteketea kwa moto
hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na kusababisha hasara kubwa
ambapo vibanda vya biashara na maduka yameteketea kwa moto huo.
Baadhi
ya wafanyabiashara wakipakia mizigo ya mali zao katika gari mara baada
ya kufanikiwa kuokoa mali zao katika Soko la Kisimani lililopo mji
mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya lililoteketea
kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na kusababisha hasara
kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka yameteketea kwa moto huo.
Askali
wa kampuni ya Ulinzi akitizama mali iliyookolewa katika moja ya maduka
ambapo wananchi waligombania mali hizo na kuzichukua wakati Soko la
Kisimani lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani
Mbeya likiendelea kuteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10
jioni na kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka
yameteketea kwa moto huo.
Mbao
zilizokuwa zimetumika kujengea vibanda vya biashara zikiwa zimevunjwa
ikiwa ni moja ya njia ya kudhibiti moto kutoendelea kuteketeza vibanda,
maduka na mali za wafanyabiashara katika soko la soko la Kisimani
lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya
lililoteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na
kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka
yameteketea kwa moto huo.
Pichani
ni duka ni moja wapo ambalo halikuweza kuteketea kwa moto, ambapo
ukitazama juu ya paa Paka aliyekuwa na rangi Nyeusi hakuweza kutoweka
hapo, licha wa moto kuendelea kuteketeza maduka na vibanda vya biashara
katika soko la Kisimani lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya
Momba mkoani Mbeya lililoteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya
Saa 10 jioni na kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na
maduka yameteketea kwa moto huo.
Magari
ya kampuni ya Ujenzi wa barabara ya Tunduma mpaka Sumbawanga yalifika
kutoa msaada wa kudibiti moto katika Soko la Kisimani lililopo mji
mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya lililoteketea
kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na kusababisha hasara
kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka yameteketea kwa moto huo.
Gari
la zimamoto likiwasili eneo la tukio kudhibiti moto kutoendelea
kuteketeza maduka, vibanda vya biashara na bidhaa katika soko la
Kisimani lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani
Mbeya lililoteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni
na kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka
yameteketea kwa moto huo.
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gilbert Kimolo(mwenye suti ya rangi ya
kijivu) akiwa katika hekaheka za kutaka kushuhudia soko la Kisimani
lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya
lililoteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10 jioni na
kusababisha hasara kubwa ambapo vibanda vya biashara na maduka
yameteketea kwa moto huo.
Mzee
huyu alishikwa na bumbuwazi la kutoamini duka lake likiteketea kwa moto
ambapo hivi karibuni aliingiza mzingo wa bidhaa kutoka jijini Dar es
salaam uliogharimu shilingi milioni Ishirini.
No comments:
Post a Comment