Wananchi
wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana mchana wamezichoma moto na
kuzivunja Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na
ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile
kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.
Wananchi na
wanafunzi wakiwa eneo la tukio ambapo wananchi hao jana mchana kuzicho
moto na kuzivunja Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma
Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame
kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.
Pichani ni mabati
yaliyoteketea kufuatia sakata la Wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya
Isanga jana mchana wamezichoma moto na kuzivunja Nyumba mbili ya
Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia
tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na
imani za kishirikina.
Vikosi vya zima
moto na askali polisi wakiwa eneo la tukio jana kudhibiti moto na
wananchi kutoendelea kuvunja nyumba Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa
huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi
kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za
kishirikina.
Moja ya sehemu
zilizobomolewa na kuchomwa moto na wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata
ya Isanga jana mchana katika Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo
Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi
kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za
kishirikina.
*****
Na
mwandishi wetu.
Wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana
mchana wamezichoma moto Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana
Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka
wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya wananchi waliitisha mkutano leo kujadili chanzo cha tukio lakini ukaahirishwa kufuatia kutokuwepo kwa ulinzi toka jeshi la polisi ambao wangeweza kuzuia lolote mkutanoni hapo.
Baada ya wananchi hao kuelezwa kuwa hapatakuwepo mkutano huo walipandwa na hasira na kujichukuliwa sheria mikononi mwao kwa kuzichoma nyumba ya Juma Kahawa ambaye alipigiwa kura 150 na ile ya Mganga Mfipa aliyepigiwa kura 20.
Vikosi vya Zima moto na Jeshi la Polisi vilifika eneo la tukio na kuthibiti moto uliokuwa ukiendelea kuteketea nyumba hizo.

No comments:
Post a Comment