Mchezaji
Emanuel Okwi wa Simba akiruka juu juu kuupiga kwa kichwa mpira katikati
ya mabeki wa timu ya Es Setif katika mchezo wa Kombe la Shirikisho
unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii,
Mpira umekwisha Simba imeshinda magoli mawili yaliyofungwa na wachezaji
Emmanuel Okwi goli la kwanza na Haruna Moshi "Boban" goli la pili.
Mashabiki wa Simba wanashangilia kwelikweli huku na baada ya Simba
kufunga magoli mwashabiki wa Yanga walianza kuondoka uwanjani kabla ya
mpira kuisha ni kazi kwelikweli.
Mchezaji wa Simba Amir Maftaha akikabana na mchezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria katika mchezo wa
kwa hisani ya full shangwe
No comments:
Post a Comment