Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, April 30, 2012

MWANAMZIKI DIAMOND ALIVYOPOKELEWA JANA NA FANS WAKE NDANI YA DAR LIVE...


Jana ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo kwa sasa na kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza nchini kufanya hivyo. Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One akielekea kwenye Helikopta tayari kwa safari…

akisindikizwa na rubani wake kuelekea kwenye helikopta


saluti kwa wananchi wa mbagala


sala muhimu..

heliktopa ikiwa juu angani karibu kushuka

wananchi ndani ya Dar live wakimsubiri Diamond


akishuka kwenye gari

washabiki wakishangilia kumwona Diamond..

helikopta ikiondoka ndani ya uwanja wa Darlive


 diamond akiagana na rubani..
picha credit na Issa Mnally/Erick Everist wa GlobalPublisher..

No comments:

Post a Comment