Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa
hotuba ya Ufunguzi wa Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast
26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni
Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.
Muakilishi wa Jimbo la Dimani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akichangia jambo
katika Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa
ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika
katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi waliohudhuria katika Semina ya wajumbe wa
Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi
itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza
la Wawakilishi Mbweni Mjini .
Muakilishi wa Jimbo la Dole Shawana Bukheti akichangiajambo katika
Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu
na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi
wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango ya Maendeleo Omar
Yussuf Mzee akitoa ufafanuzi wa Baadhi ya Masuala yalioulizwa na Baadhi
ya Wajumbe waliohudhuria katika Semina kwa wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast
26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni
Mjini
No comments:
Post a Comment