Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 9, 2012

Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari Aripoti Kituo Kikuu Cha Polisi Mkoani Arusha Baada Ya Jeshi la Polisi Kumtaka Kufanya Hivyo



 Wakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Joshua Nassari(Chadema) alipojisalimisha Polisi baada ya kutakiwa kujisalimisha
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(Chadema) akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa jana katika makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa,alipojisalimisha baada ya kutakiwa kuripoti kituoni hapo

No comments:

Post a Comment