Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, October 18, 2014

UTAFITI: ZITAMBUE NJIA RAHISI ZA KUTAMBUA JINSIA YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI MWA MAMA MJAMZITO Mwanamke anapokuwa mjamzito huwa na wasi wasi na kushindwa kugundua kama ujauzito aliobeba ni mtoto wa kike au wa kiume. Kuna njia mbalimbali ambazo wakunga, wataalamu wa afya na wanawaake wazoefu huzitumia kutambua jinsia ya mtoto aliyeko tumboni ambapo mara nyingi asilimia zaidi ya 50 huwa ni kweli. Zifuatazo ni dalili na njia zinazotumika kutambua jinsia:-

1. Tumbo, wazoefu wanaamini endapo utakuwa umebeba uzito mdogo tumboni na tumbo dogo mtoto atakuwa ni wa kume.2. Haja ndogo, endapo mama mjamzito anatoa haja ndogo rangi nyeusi kuna uwezekano mkubwa amebeba mtoto wa kiume huku nyeupe au rangi ya mawimbi ikimaanisha jinsia ya kike.


3. Chunusi, uwepo wa chunusi nyingi na mara kwa mara ni ishara kuwa umebeba mtoto wa kiume wakati ngozi kuwa laini sana kupita awali ikimaanisha ni mimba ya mtoto wa kike.


4. Maziwa, pale ziwa la kulia linapokuwa kubwa kuliko ziwa la kushoto inamaanisha mimba ni mtoto wa kiume.


ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI5. Miguu kuwaka moto na kuwa laini ina maanisha mimba ni ya mtoto wa kike wakati miguu kuwa na mikono kuwa ya baridi ni mtoto wa kiume.


6. Mapigo ya moyo, hii hutumiwa na wataalamu wa afya ambapo mapigo chini ya 140 ni mtoto wa kiume wakati zaidi ya 140 ikimaanisha mtoto wa kike. 


7. Kutamani vyakula, mjamzito anapotamani sana vyakula vya uchachu na chumvi nyingi kuna uwezekano wa kujifungua mtoto wa kiume wakati vitamu na sukari nyingi ni mtoto wa kike.


8. Mtindo wa kulalia ubavu wa kushoto mara nyingi ni jinsia ya kiume wakati ubavu wa kulia ni mtoto wa kike.


9. Kutapika, wengine wanaamini kichefuchefu na kutapika sana nyakati za asubuhi ni ishara ya kubeba mtoto wa kike.


10. Nyingine ni kuongezeka uzito kupita kiasi ikimaanisha mtoto wa kike huku kupungua, kubaki na uzito uleule au kuongezeka uzito kiasi ni ishara kuwa ni mtoto wa kiume


11. Nywele, mwanamke anapokuwa mjamzito na nywele zikaota au kukua kwa kasi inamaanisha mtoto wa kiume wakati kinyume chake ni jinsia ya kike.

10 comments:

 1. Asanten sana kwa kuelimisha jamii kwa ujumla,kwa maelezo ya hapo juu yanaonesha dhairi kuwa ni kweli na nimeona yakifanana kabisa na tabia ambazo mke wangu akionesha na mpaka sasa nina mtoto tayar....

  ReplyDelete
 2. Jirani yetu alikuwa na dalilihizo but akajifungua hewa

  ReplyDelete
 3. Ngoja na mie nisubir nione kama dalili zitaenda sawa..

  ReplyDelete
 4. Ngoja na mie nisubir nione kama dalili zitaenda sawa..

  ReplyDelete
 5. Natamani kujua nimebeba mimba ya mtot gn

  ReplyDelete
 6. Natamani kujua nimebeba mimba ya mtot gn

  ReplyDelete
 7. Me mimba yangu ya kwanza nilitoka vipele vingi na nilikuwa mmbaya sana na nikajifungua jike.ila hii ya sasa sina vipere na nipo vilevile je itakuwa dume������

  ReplyDelete
 8. Naona kama kuna utofauti wa ma watabibu mana wengine husema ukibeba uzito mdogo tumboni ni mtoto wa kiume mana wao huwa wakubwa na uzito mkubwa? Sasa tumbo dogo mtoto mkubwa ??aya tumbo kubwa mtoto wa kike , watoto wa kike huwa na uzito mdogo ivyo tumbo huwa kubwa ????? Mtoto mkubwa tumbo dogo ,mtoto mdogo tumbo kubwa !!!! Cjaelewa

  ReplyDelete
 9. Yaan utabiri huu ni vice versa

  ReplyDelete