Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 16, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA KUINUA UBORA WA ELIMU YA MSINGI 'TZ 21 CENTURY BASIC EDUCATION PROGRAM' MKOANI MTWARA JANA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto kwake Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa, (kulia) ni  Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa (kulia) ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Majaliwa Kassim Majaliwa.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment