Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 16, 2012

WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO na MUZIKI wa BONGO FLEVA


1. LADY JAY DEE
NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI YA 
TSH.MIL 45, BASI AINA YA COSTA TSH.MIL.30, PRADO, NYUMBA NZURI YA KISASA,PAMOJA NA MGAHAWA WA NYUMBANI LONGE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH.MIL.150 PIA ALIANZISHA MAJI YAKE YA JAY DEE AMBAYO BAADAYE YALIZUIWA.


NYUMBANI LONGE KWA NDANI

NYUMBANI LONGE KWA NDANI

MAJI YA JAY DEE


NYUMBA YA KISASA ANAYOISHI
BASI KWA AJILI YA BAND YAKE YA MACHOZI BAND
2. DIAMOND
NI MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE .NI MSANII ANAYE LIPWA PESA NYINGI KWA SASA TANZANIA KWA SHOW MOJA ANAYO FANYA.PIA NI MSANII MWENYE SHOW NYINGI KWA MWEZI KULIKO WOTE,.HII IMECHANGIA KUWEZA KUPATA PESA NYINGI KATIKA MDA MFUPI.ANAMILIKI NYUMBA KADHAA,VIWANJA,MAGARI,MADUKA.
DIAMOND

GARI ANAYO MILIKI YENYE THAMANI YA TSH.MIL 60

GARI ALIYO KUWA ANATEMBELEA MWANZO


3.AY
  AY NI MSANII MKIMNYA SANA NA HUWA HAWEKI MAMBO YAKE HADHARANI SANA HASAHASA YA MAISHA YAKE.LAKINI NI MSANII MWENYE PESA NYINGI KUTOKANA NA KUFANYA SHOW NYINGI ZA KIMATAIFA ZINAZO MPATIA PESA NYINGI.ANAMILIKI MAGARI,ANA DUKA LA NGUA,PIA ANA NGUO ZAKE MAALUMU ZENYE NEMBO YA JINA LAKE.
4.PROF J 
NGULI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII AALIYE DUMU KWA MDA MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA TSH.MIL 100, ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
PROF.J
NYUMBA YA PROF J

MBELE YA NYUMBA

AINA YA GARI ANAYO TEMBELEA


KWA NDANI

KWA NJE

 5.JUMA NATURE

MSANII WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA MUZIKI WA TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA  NI MFANYA BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA

6 comments:

 1. so for that reason DIAMOND Kawafunika COZ ana muda mfupi, yani nakusudia spidi yake ya kupata hela ni kubwa

  ReplyDelete
 2. Wasanii wote hawa mi nawaheshimu sana

  ReplyDelete
 3. Wote wako juu sana hawa

  ReplyDelete
 4. Yaani gari na nyumba ni utajiri?...kwa pesa wanazokamata wakati wanapokuwa hot kwenye game kama wangekuwa na akili za ujasiriamali kwa hakika wangekuwa wanafika mbali sana, wanazidiwa hata na bongo movie bana..aaaaaaaaaaargh!

  ReplyDelete
 5. big all artists always god is good. never give up.......

  ReplyDelete