Mchezaji
Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na
kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo
fainali 2012 watakapokutana na Italia.
Kwenye sentensi nyingine Sweden imeshinda 2 -0 kwenye mechi na France.
AMCOS ZA PWANI ZATAKIWA KUACHANA NA OFISI ZA MABEGI
-
Mwenyekiti wa chama kikuu cha ushirika cha Pwani (CORECU), Mussa Hemedi
mng'eresa akiwaambia viongozi wa AMCOS za Pwani umuhimu wa kuwa na ofisi
pamoja...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment