Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza
kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni 26, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kushoto ) na
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Juni Juni 26,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida (katikati) na Mbunge
wa Mchinga,Said Mtanda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni
26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment