WADHAMINI
wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kampuni ya Vodacom itakabidhi zawadi kwa
washindi wa ligi hiyo keshokutwa kwenye hoteli ya Double Tree Hilton
mjini Dar es Salaam.
Mfungaji bora, John Bocco atapokea kitita keshokutwa |
Mfungaji bora, John Bocco atapokea kitita keshokutwa |
No comments:
Post a Comment