Habari zinasema waliofariki dunia walikua Wasomali
44 waliokuwa washafika mkoani Dodoma nchini Tanzania. Na marehemu
wengine ni ya wasomali 22 ambao wote imebidi wazikwe hapa hapa Tanzania
kwa sasa kwenye makaburi ya kola mkoani Morogoro, na wengine 22 wamezikwa mkoani Dodoma,huku wenzao wengina waliokolewa katika janga hilo.
Magazetini Leo Januari 19, 2025; Mishahara mipya yaibua Kasheshe
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
1 hour ago



No comments:
Post a Comment