Ban Ki Moon akizungumza wakati wa
hafla hiyo ambapo amempogeza na kushukurusu sana Migiro kwa namna
alivyokuwa mshauri wake na mwalimu wake ambaye a anasema kwa ualimu
wake anampa alama ya plus plus plus. akatumia hafla hiyo kutangaza
kwamba anamteua Dkt. Asha- Rose Migiro kuwa mjumbe wake maalum katika
masuala ya ukimwi na ugonjwa wa ukimwi Barani Afrika. Migiro
anaondoka baada ya kuutumikia Umoja wa Mataifa kwa miaka mitano na
nusu.
Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza
wakati wa hafla hiyo, akatoa shukrani zake kwa Ban ki Moon kwa kumpatia
heshima hiyo ya kihistoria ambayo haita kaa ifutike na kwamba
ameupokea uteuzi huo kwa mikoni miwili na hasa kutokana na kwamba
tatizo la ugonjwa wa ukimwi ni tatizo ambalo analichukulia kwa uzito wa
aina yake.na father kidevu
No comments:
Post a Comment