Baadhi ya wafanyakazi
na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam waliojitokeza kuupokea Mwenge wa
Uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo. |
Askari kutoka jeshi la Polisi wakiimarisha ulinzi wakati wa sherehe za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru leo jijini Dar es Salaam. |
Wakimbiza Mwenge kitaifa wakiongozwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Capt. Ernest Mwanossa (wa kwanza mbele) wakianza safari kuelekea maeneo mbalimbali ya wilaya ya Temeke leo jijini Dar es Salaam. |
Vijana wa halaiki kutoka wilaya ya Temeke wakiimba wimbo maalum wa Mwenge wakati wa mapokezi leo jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment