Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 25, 2012

YANGA WAJIFUA KATIKA UFUKWE WA COCO KWA AJILI YA MAANDALI YA KAGAME CUP


 Kifaa kipya cha Yanga, Kelvi Yondani
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Simon Msuva (mbele) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye fukwe za Coco jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni beki mpya wa klabu hiyo,  Kelvin Yondani na Godfrey Taita. (Picha zote na Mpiga Picha wa Habari Mseto Blog).
 Nurdin Bakari akijifua.
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi.

Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi mepesi ya kujiandsaa na mashindano ya Kagame Cup  yanayotarajiwa kuanza Julai 14 jijini Dar es Salaam.
 Nizar Khalfan akiwa katika mazoezi na timu yake mpya ya Yanga katika ufukwe wa Coco Oysterbay jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment